Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

that manzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
385
Reaction score
1,246
Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku..

Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya?

na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
 
Depal Analyse Gily Gru mzabzab ndege JOHN Joannah nyie si ninwasomi wa ukooo msaidieni mwenzenu😂😂
Yah anaweza hama iwapo passmark zinaendana na chuo anachotaka kwenda ,,si unajua cutting point za vyuo zinatofautiana,yaani huwezi taka kuhama medical kutoka kairuiki kwenda Muhas,labda atoke Muhas aende Kauruki,pia wanaangalia reason na nafasi kama ipo huko aendako..
 
umejiweka kwenye kundi la wasio na akili kabisa😂😂😂😂😂
Mje sipende unafiki. Napemda ukweli. Katika watu ambao hawana akili hii tanzania mie ni mmoja wapo. Naendekeza sana mbususu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…