Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

wewe sii umesema mie sio mzinzi hata top 20 yenu ya mashangazi wa jf sijaingia hahaha
Tatizo wewe unajifanya mzinzi wakati kijana safi kabisa mali ya yesu...sasa kama kweli mzinzi anza mitongozo
 
Ndiyo unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine
Ndiyo unaweza kuhama kutoka chuo X kwenda chuo Y.
UTARATIBU
Dirisha la transfer linafunguliwq baada ya zoezi la udahili kukamilika. Kipindi ambacho vyuo vimefunguliwa na usajili wa wanafunzi unaanza.
Fika chuo Y wanandikie barua au jaza form ya kuomba nafasi ya kuhamia, ukijibiwa nafasi ipo utapewa na utaratibu wa jinsi ya kujiunga na chuo hicho. ukijibiwa hamna nafasi utaenda chuo kingine na kufuata utaratibu huo.
ANGALIZO
Usifanye usajili kwenye chuo unachotaka kuhama ukifanya hivyo utasababisha double registration ambayo badae inaweza kukuletea shida kwenye kupokea mkopo lm unao.
Mkopo pia utachelewa maana reallocation itafanyika baada ya dirisha ya transfer kumalizika.
 
unaweza ndio...Cha Msingi wapigie tu hao labdah TIA campus ya Dar ukiwahoji swali hili hili na ukiwa na sababu maalum ya kufanya hivo majibu watakayokupa naamini yatakupa mwanga
 
Kama unahama kutoka campus ya tia ya dar kwenda tia ya mbeya hamna shida unaruhudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…