Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa;

Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
 
Kuna hatua lazima uelekezwe kama jinsi ya kushika machine, ku adjust wembe ili kupata size tofauti na kujua nywele zimelalia pande ipi ili kuepuka kutoa upala
 
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa;

Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
Inategemea unanyoa nywele zipi chif
 
Back
Top Bottom