400 copies or 40 copies sijakupata au umechapia mkuu, ila nimekupata angalau ila kuna baadhi hapahapa tz si wanaweza pima 40 copies in a sample of blood au??Mkuu kwa elimu yangu ndogo najua kua below 50copies/mills hua tunasema ni undetectable yani vipimo vyetu vingi haviwezi kuona virusi chini ya hiyo 50
Na mtu mwenye virusi chini ya 400copies/mils huyo tunamuita ana low viral load na ana very small chance ya kumuambukiza mwenza hata pasi na kutumia condom
Sent from my iPhone using JamiiForums