A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siyo mimi ila kuna Dada mmoja ambaye ni rafiki yangu na ameishi na hiyo hali kwa miaka 6 sasa ndiyo nimeshauri aende hosptali ili anze kutumia dawa ndiyo akaniuliza hilo swaliMkuu wahi kwenda kucheki afya kwanza,kisha uje kuanzisha Uzi huku akili ikiwa na majibu na sisi tutaweza kuchangia
Vigezo gani mkuu anatakiwa kuzingatiaInawezekana.. Vigezo na masharti kuzingatiwa
Kuchuja nafaka kwa utuo i mean kidogo kidogo unajipangia tu kama kwa mwezi mara mbili,nazungumzia kwa wanaume sijajua kama wewe me au ke.