Inawezekana tangazo la ajira likawa nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka?

Je, kuna uwezekano kwamba tangazo la ajjra limetangaza nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka? Naomba kujua.
Kuna uwezekano mkubwa sana! Mfano mwaka 2022 utumishi walitangaza nafasi za kazi TRA walihitaji 100 lakini watu 300 walipangiwa vituo! Hivyo ukiona kazi wewe omba na hakikisha unaifaulu bila kujali nafasi hiyo inahitaji watu wangapi!
 
asante kaka
 
niko nasubiri wito mkuu
 
Ndio uwezekano huo upo na huaga inatokea kila mara!mifano ipo Mingii saana hata nikitaja siwezii kuimaliza
 
Back
Top Bottom