Sote tulisikia habari za yanga kufungiwa kwa kutomlipia ada ya usajili mchezaji ambaye wamefanya kuwa siri.
Hapa inawezekana kabisa walishirikiana na TFF kuchezea mfumo.Sasa hatari inayowakabili yanga inawakabili pia TFF ndio maana TFF wapo kimya na hawajatoa maelezo ya kutosha kuhusu sakata hili.
Tunataka uhuni katika soka ukomeshwe na watu kujidai watoto wa mjini ni mambo ya kizamani.Tutazidi kufuatilia tujue hasa suala hili lilikuwaje na kwa nini TFF wanalifunika