Inawezekana Uislamu ulianzia Petra Jordan na sio Mecca Saudi Arabia

Interesting documentary worth seeing.

Mbona mnapenda kuujadili Uislam unawakwaza wapi? Si muijadili dini yenu! Mbona dini yenu imeanzia Roma wakati Yesu mwenyewe ni Muisrael??
 
Mbona mnapenda kuujadili Uislam unawakwaza wapi? Si muijadili dini yenu! Mbona dini yenu imeanzia Roma wakati Yesu mwenyewe ni Muisrael??
Uislam kama ni dini ,siyo mali ya mtu. Lazima ijadiliwe, ikosolewe ili ieleweke kama ni ya kweli au chenga. Tena usirudie kukemea watu wanaojadili dini. Dini siyo mali ya mtu. umeikuta utaiacha. Muache mwenye dini yake ailinde
 
Acha upuuzi usio na tija! Sio tu ni kama bali ni dini, ni mali ya waislam, hata ukijadili huna cha kuongeza wala kupunguza, huwezi kuukosoa popote pale, hata kama ni chenga waache walochagua chenga yao wabaki nayo, Narudia tena " acheni ujinga jadilini imani yenu mnayotoana mapepo yasiyokwisha kila siku, vutu wahed![emoji44][emoji44][emoji44]
 
Imeanzia wapi Wakati huko Bethlehem alikozaliwa Yesu hawaikubali sana

Imeanzia Jerusalem. Soma historia ndugu; wakati Yesu Kristo akiwa duniani eneo hilo na mengine yalikuwa chini ya utawala wa Kirumi. Mnadanganywa kuwa Mtume Paulo (nemesis wenu) alikuwa Mrumi; yes alikuwa raia wa utawala wa Kirumi kama Wayahudi wote walivyokuwa ni Warumi.
 
Na warumi hawatokei Jerusalem Zaidi ya Romania.
 
Mtume Muhammad S,A,W hakuleta uislam bali kwani uislam umeanza kwa vizazi na vizazi Mitume na manabii kama vile Musa, Ibrahim, Zakaria, Yusuf na Issa walikuwa waislam. binadam wa kwanza muislam ni Mtume Adam A.S
 
Aisee...sawa mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…