Hu ni mfano hai katika maisha ya kila siku, sio kwamba kufanya kazi sanaa ndo kupata utajiri au ufahari kazi ni kipimo cha utu ni slagon tu.
Ukiangalia katika mchezo timu ya Arsenal haijawahi kucheza kwa miaka 20 ilio pita kama ilivo jitahidi msimo hu wa Epl ila hajapata kombe lolote, kijana moja amejinyongo kwasbb ya Arsanal kukosa kombe vijana tupunguze mihemiko katika ushabiki wetu.