Jamani wanajanv 2toane waswas juu ya hili maana wizara wametia mkazo kua ambaye ataripoti baada ya hizo tarehe hatapokelewa na mimi naona wengi wanategemea kuweka mambo sawa mwisho wa mwez huu na kuripoti mwez wa 9.
sio kwamba hutapokelewa ila inaweza ikajulikana hauji akapewa mtu mwingine hiyo chance yako, si unajua watu wengi huwa wanapata vyuo vikuu, nawe ukichelewa watajua umeenda chuo kikuu hivyo nafasi yako ikachukuliwa. Umechaguliwa chuo gani?
Kama unahc utaweza fika kwa muda huo fanya njia taarifa ifike chuo na useme lini unaripoti huwa wanaruhusu ila c zaidi ya wiki mbili au moja kutegemeana na chuo