Habari zenu wadau, mimi nlikuwa nauliza hivi, kwani kazi ya kushughulikia makato(ile 20% ya mshahara kama sikosei) NSSF baina ya kampuni na mfanyakazi ni jukumu la nani? Na inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?? Naombeni ushauri juu ya hili wadau