Inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?

coloured

New Member
Joined
Aug 24, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Habari zenu wadau, mimi nlikuwa nauliza hivi, kwani kazi ya kushughulikia makato(ile 20% ya mshahara kama sikosei) NSSF baina ya kampuni na mfanyakazi ni jukumu la nani? Na inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?? Naombeni ushauri juu ya hili wadau
 
Mwajili wako hapeleki michango, nenda na kadi yako na statement kwa meneja wa NSSF watashughurika naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…