johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenye mahojiano ya Kipindi Cha One on One Wenje ameiponda Nafasi ya makamu Mwenyekiti na kusema hainaga Fursa zozote zaidi ya kusimamia Vikao Vya Nidhamu
Wenje amesema Cheo Cha Makamu Mwenyekiti hakina majukumu tangible yanayoonekana, ni kazi ndogo sana
Ndio najiuliza kama ni kazi ndogo mbona anagombea Kwa kutumia gharama kubwa?
Au amelazimishwa Ili amvuruge rafiki yake?
Nimewaza hivi baada ya kumuona Wenje Kwenye ile orodha ya Wahaini wa Chadema
Ahsanteni sana 😄