Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
una umri gan? Na watoto wangap? Na unaish wapi?Salamu, hivi ukishazaa na kuachika unaweza kupata mwanaume mzuri akakupenda wewe na watoto wako maana watu wanasema eti ukishazaa thamani inapungua. Nisaidieni jamani i'm a single mother and i believe i'm attractive but nimekata tamaa ya kupendwa.
wewe kwanini unmwambia ivi mwenzio?Sasa m2 umeisha zeeka nani akutake tena!?