kande kavu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 234
- 88
- Thread starter
-
- #21
Inawezekana, lakini kulingana na maelezo yako kwamba umekapa mgogo ili kasikutege, hapo nina wasiwasi, Hujaacha ila unapumzika. maana ungekuwa umeacha usingekuwa na wasi wasi wa kutegwa ungekaona kama mwanaume mwenzio.
Jasiri haachi asili.
Wewe upo likizo unakusanya nguvu kurudi kazini kwa kishindo.
Maoumziko mema mkuu
OTIS
Ubarikiwe sana
Kaka hiyo kitu...sijui. Ngoja niseme tu kwamba hongera na itabidi ujitahidi sana maana kuacha hiyo habari kama ni mzoefu ni mziki mzito sana.
All in all keep fighting bro.
na maji ya moto hayasahu baridi!Jasiri haachi asili.
Wewe upo likizo unakusanya nguvu kurudi kazini kwa kishindo.
Maoumziko mema mkuu
OTIS
Two years sio haba. BIG UP sana, mimi nilidhani labda umeacha ndani ya miezi 3, 4 ndiyo maana nikasema hivyo. Jitahidi hivyo hivyo mkuu maana ukifikiria sana ni kwamba mwisho wa siku hakuna jipya utakalopata kwa kufanya ngono ovyo ovyo.Kaka ndo uhalisia au ndo tulivyoaminishwa? Two years now and counting.
Ndio maana aliposhtukia alitaka kuua mtu. Na uAsha ngedere alioufanya pale shambani kwangu haukuwa wa kitoto lakini mzee niliendelea kupiga game.Any way, that is gone, but from her eyes, she does not trust me anymore.And that is for me to live with.