Inawezekana!

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747

Mfanyabiashara wa ndoo za plastiki akiwa amepakia mzigo unaozidi uwezo wa baiskeli yake katika eneo la Tandika Mikoroshini jijini Dar es Salaam jana. Picha kwa hisani ya HabariLeo

Hakuna kisichowezekana, itategemea kiasi cha bidii uliyoweka
 
Uyu jamaa anatumia nguvu za giza!
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania!:whoo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…