Inawezekanaje hii

Inawezekanaje hii

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Nimesoma habari moja imetokea nchini marekani mwanamke anayefanya kazi ya kuchunguza maiti amefikishwa mahakamani kwa kukutwa anafanya mapenzi na maiti.

Na katika kufanya kwake mapenzi na maiti hizo amepata ujauzito. Swali langu ni hivi inakuwaje maiti(kiume) inaweza kumpa mimba mwanamke. Je sehem za kiume zinatoaje manii na zinafanyaje kazi for a dead person.

Ukishangaa ya musa.....
 
nagoja waje "" lakini hii topic ungeipeleka kule jukwaa la intelligence ungepata majibu faster...huku naona utaishi kupuyanga tu""
 
mhusika
Screenshot_2018-05-24-15-31-40-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom