Nimesoma habari moja imetokea nchini marekani mwanamke anayefanya kazi ya kuchunguza maiti amefikishwa mahakamani kwa kukutwa anafanya mapenzi na maiti.
Na katika kufanya kwake mapenzi na maiti hizo amepata ujauzito. Swali langu ni hivi inakuwaje maiti(kiume) inaweza kumpa mimba mwanamke. Je sehem za kiume zinatoaje manii na zinafanyaje kazi for a dead person.
Ukishangaa ya musa.....