Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ninawaamkua wote.
Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani.

Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri.

Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na vivyo hivyo kivukoni na gerezani.

Hizi hujuma dhidi ya kodi zetu zitafutiwe ufumbuzi kabla hatujawatumbua 2025
 
Back
Top Bottom