Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hili lipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya taasisi zetu za umma yakiwepo mawizara mbalimbali ikiwepo Ardhi na nyinginezo
Unaweza kuwa na tatizo labda mfano, suala la ardhi kutapeliwa ukafuatilia suala hilo mpaka ukalipeleka katika vyombo vya umma vya upelelezi navyo vikafanya kazi yake vizuri sana, kiasi wakapata "who is supposed" lakini suala hili litakapo rudi ili lifanyiwe kazi, taasisi hiyo ingine inapatwa na kigugumizi, although the issue are so openly and ocurately
Mambo ya aina hii ndiyo yatasababisha watu kuzidi kumkumbuka Hayati na mpendwa wetu, unamkamata mwizi lives na kuku halafu unashindwa kutoa hukumu na unabakia na kigugumizi badala ya kutoa maamuzi na mambo mengine yaendelee!
Serekali yetu makini ituondolee mambo ya aina hii ya kujipiga gwara yenyewe, Mambo ya aina ni kero mno kwa watanzania, "kuichelewesha haki ni moja ya njia kuu ya kutengeneza mianya rushwa"
#Tuchape kazi huku tukizingatia haki na kweli kwa wote!
Pole Dr. Angelina Mabula wizara ngumu hii.