Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 146
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba kufahamu, hivi ile inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha mtu kupalia na kupika chafya inaitwaje, wengine wanasema eti ni moshi wa chungwa, wangine gas, wangine maji, wengine mvuke sasa inachanganya tunashindwa kuelewa.