Inbox ya mdada Vs inbox ya mtoto wa kiume

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
INBOX YA MDADA.

1:I love u dear. [Gerald]

2:Nikutoe out leo.[John]

3:Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine.[Mwambi]

4:Sweaty usisahau trip ya Bagamoyo uniambie nikupitie wapi.[MD]

5πŸ˜€arling have u seen u're credit i sent to u.[Mboss 1]

6:Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa Nakupenda sana.[Evans]

7:Haloo jibu kama umeshapata[Mheshimiwa 2].

8:Baby check acount yako nimekuwekea kitu.[Chairman]


INBOX YA MKAKA.

1:Salio lako halitoshi kukamikisha ombi lako.[Tigo pesa]

2:Ukinitumia text nyingine namwambia rafiki yako.[Jane].

3:Mwanaume gani unashindwa kutoa msaada.[Patricia].

4:Unajifanya haupokei simu lakini wiki hii ni ya mwisho lipa kodi au utoke kwenye nyumba yangu.[Baba mwenye nyumba]

5:Kaka nakutegemea Ada.[Mdogo wangu Jack]

6:Sijaziona siku zangu napenda ujue hilo.[Jirani house girl]

7:Mwanangu Njaa inatuua usitusahau, mungu Akubariki.[Mama]

Hapo wewe kama ni mtoto wa kiume lazima kichwa ichemke.

Thats why men are Dying young wanawake mtuhurumie.
.
 
Duuhhh kama ulikuwepo vile!!!maneno yako kama ya TRUMP
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Daah yaani sisi wa upande wa kiumeni mungu atusaidie tuweze kuwasaidia hawa watu
 
hapo kwenye inbox ya kiume..mamA alipotia neno lake pamenigusa sana...yani hii ni serious comedy...eti mwanangu njaa zinatuua huku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…