Nishukuru Yanga kufungwa maana kama wangefunga kelele mpaka maiti wangesikia. Asante USM Algers
nchi haiwezi kutulia coz ni yanga pekee nchini ndo ipo kwenye hzo levo,km simba nayo ingekuwa fainali klabu bingwa hapo kweli tungetuliaNishukuru Yanga kufungwa maana kama wangefunga kelele mpaka maiti wangesikia. Asante USM Algers
ndo imeisha hivoHaijaisha bado.
Acha kujitutumua na kauli za kujifariji.Haijaisha bado.
Ipo hivo siku zoteLeo NIMEAMINI kuwa Simba ni timu kubwa.
Bado second final 03/06/2023 we Mbumbumbu kuwa na akiba za maneno ya kukariri matokeo katika mpira lolote huwa linawezekana.Nishukuru Yanga kufungwa maana kama wangefunga kelele mpaka maiti wangesikia. Asante USM Algers
Ambayo inafungwa na Namungo wanaoshuka daraja NBC PL TZ [emoji1787]Leo NIMEAMINI kuwa Simba ni timu kubwa.
Ni kweli. Walianzia pale walipoanza kufuta kwa nguvu historia ya Simba kucheza fainali ya michuano hiyo 1993 ili waonekane wao ndo wa kwanza kufika level hizo. Hiyo siyo hate?the hate is real.
kuijadili timu iliyofika fainali ni matumizi mabaya ya muda, sisi simba tuangalie tumepotea vipi msimu mzima bila kombe lolote kwa msimu mzima.Nishukuru Yanga kufungwa maana kama wangefunga kelele mpaka maiti wangesikia. Asante USM Algers
Mgunda alisemwa na msemaji wa timu na sio kwa niaba ya timu. na kuhusu hayo mengine umebishana na watani wako huko mtaani kwenu ambao ni mashabiki wa yanga, unakuja ku-generalize.. 😅 😅Ni kweli. Walianzia pale walipoanza kufuta kwa nguvu historia ya Simba kucheza fainali ya michuano hiyo 1993 ili waonekane wao ndo wa kwanza kufika level hizo. Hiyo siyo hate?
Hate nyingine inakuja pale mtu anapoponda Simba kuishia robo fainali ya CL kana na kupeleka timu 4 kimataifa kwa misimu kadhaa kana kwamba hayo siyo mafanikio. Hiyo nayo iitwe nini kama siyo hate?
Hate ya hivi karibuni kabisa ni Ile ya kumtukana na kumdhalilisha Mgunda, ambaye hajawahi kutoa shit yoyote dhidi ya Yanga. Ni kiwango cha namna gani cha hate hicho?