Matowo hoja yako nzuri ila ungeandika kwa lugha ya Taifa Kiswahili ili ueleweke na pia kuwanufaisha walengwa ambao bila shaka hata Kiingereza hawakielewi...watch your grammar, spelling, sentence structure etc...maana kuzigatia hayo ndio kutawezesha wasomaji kukuelewa.Kuandika Kiswahili sio kujiweka duni, lazima tujivunie lugha yetu na utamaduni wetu, huo ndio uzalendo, kuliko kuhangaika kujieleza kwa lugha ambayo hatuifahamu sana, na sio kosa kutofahamu Kiingereza...Sawa? NO offense friend, kusaidiana hapa