Income tax kwa wanandoa

Income tax kwa wanandoa

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Naomba msaada kuhusu hili swala. Babaangu mzazi anataka abadilishe nyumba yke aeke kwa jina ya mama kama kutransfer sasa shida inkuja imefika hatua ya TRA wao wanadaii lzima ilipwe tena 10% syo 3% ya capital gain kisa file limefunguliwa 2022 ila tngu hpo hkuna malipo ilofanyika. Na makao makuu wanasema mume akiimpa mke halipi capital gain kwasababu siyo biashara hiyo ni family relations. Sasa najaribu kujuwa ukweli wke na kama kuna anayeweza kunionesha kipengele chake kisheria ntashkuru sana.
 
Kwa ninavyoelewa Capital Gains unalipia 10% ya value ya Property wakati huo hata kama imetolewa kwa njia ya zawadi...kama ilivyo kwa baba yako na mama yako.
 
Kwa ninavyoelewa Capital Gains unalipia 10% ya value ya Property wakati huo hata kama imetolewa kwa njia ya zawadi...kama ilivyo kwa baba yako na mama yako.
Sawa inawezekna kuwa hvyo ila sheria imebadilishwa tngu mwka jna imeshushwa from 10% to 3% Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom