Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 526
180,000/=
Laki moja.
hii ni income ya mwezi au mwaka (miezi 12)?wakuu naomba kujulishwa income ya 1000000 kodi yake ni kiasi gani...?
hii ni income ya mwezi au mwaka (miezi 12)?
wakuu naomba kujulishwa income ya 1000000 kodi yake ni kiasi gani...?
Acha madharau bana! Unajua statutory minimum wage ni kiasi gani kwa Tanzania?acha uoga wewe,mbona pesa ya maji ya kunywa tu hiyo.
Acha madharau bana! Unajua statutory minimum wage ni kiasi gani kwa Tanzania?
mmekurupuka kujibu wote! Hajafafanua ni income ipi? Ya kampuni au binafsi? Na je kodi anayouliza ni PAYE,au SDL , kwani zote ni aina za kodi....ulieuliza, be specific,,,wakuu naomba kujulishwa income ya 1000000 kodi yake ni kiasi gani...?