Incredible Maths! - (I)

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,324
Reaction score
13,967
Simply take your calculator, enter your age (number), multiply by 259 and then multiply by 39.

What did you get huh?
 
Maxence!

Nimekupata wala sikuambii jibu,andika wewe umepata ngapi kwanza.ha ha ha
It's surely incredible maths!.
 
Mimi nimeapata 454545,mbona hii ni kama namba ya umri wangu imejirudia? lol
 
He mbona 565656???? Hebu tufafanulie mkuu wangu. It is really incredible maths!!!
 
Mkuu hiyo maths nimeikubali, its incredible, ebu tupe uelewe kidogo, hiyo 259 na 39 ina siri gani hapo katikati mkuu, akhsante kwa hilo,Bravo
 
mimi nimepata 1030302, age yangu ni 102 years.... Ki
 
Watu wanataja miaka yao humu ndani hata sijui vp?

Invisible umetuwahi.Mwenzio niko kibaruani lakini ilibidi
ni-stop nifanye hii 'incredible math' kwanza...🙂

Big up bro!
 
Dont know but seems like it aint working for single digit ages!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…