Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maafisa utumishi waliopo humu wapenyeze mkeka ulivyo kaa.Ni increment ya kiasi gani mkuu? Au wataweka flat rate kwa wote?
Ni increment tu au na ongezeko la kawaida la mshahara!?Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Hii sio habari mkuu, waziri alishasema. Ni annual incrementNimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Ni kiasi gani? Unaweza shangaa kelele nyingi halafu kumbe ongezeko lenyewe dasi [emoji3]Hii sio habari mkuu, waziri alishasema. Ni annual increment
mbona magazeti mengi yameandika hii habari leoNimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
KWELIWala siyo za chinichini....iliwekwa waz Kila mtu anajua
Annual increment angalia kwenye barua yako ya promotion, au uliza kwa HR wako, inajulikanaNi kiasi gani? Unaweza shangaa kelele nyingi halafu kumbe ongezeko lenyewe dasi
Waniwekee Ili nikainywee biaNimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Taja salary scale yakonikutajie annual incriment yakoNi increment ya kiasi gani mkuu? Au wataweka flat rate kwa wote?