Mashine za mayai ziko za aina nyingi sana, na kikubwa kuna aina mbili za Incubator.
1. Still Air Incubator
2. Forced Air Incubator
Hiyo No 2 ndo the best,
Kuhusu idadi ya mayai, kuna zinazo beba hata mayai 10 hadi za mayai hata Milioni moja, inategemeazna na ukubwa wa project yako,
Incubator zina hitaji umakini wa kipee kwenye kununua kwa sababu nyingi huwa ni feki au zenye ubora hafifu na matokeo yake ni kukuingizia hasara kubwa sana,