Incubator,incubator incubator hizi hapa kwa bei nafuuuuu

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Tunatengeneza incubator za kutotolea mayai ya ndege wa aina zote.ni incubator zenye ubora wa hali ya juu.ni automatic zinageuza mayai zenyewe,zinacontral zenyewe kiwango cha joto na unyevu.
zina dumu muda mrefu kwa sababu tunazitengeneza kwa kutumia malighafi zenye kiwango cha juu cha ubora.unapoweka mayai hauna haja ya kuacha kazi zako eti unasimamia mayai,ukiweka mayai unaweza kusafiri hata wiki 2 ila siku ya 21 uwepo kutoa vifaranga vyako
mashine yenye kubeba mayai 300 bei ni sh 850,000/=,yenye kubeba mayai 600 bei ni sh 1,700,000/=,yenye kubeba mayai 1,000 ni sh 3,500,000/=,yenye kubeba mayai 2,500/= bei ni sh 5,000,000/=
tunapatikana DODOMA MJINI JENGO LA MANISPAA DODOMA.utakapo nunua incubator kwetu utatumiwa kokote ulipo itakufikia.kwa mawasiliano piga namba 0765 442104
 
tunapatikana DODOMA MJINI JENGO LA MANISPAA DODOMA.utakapo nunua incubator kwetu utatumiwa kokote ulipo itakufikia.kwa mawasiliano piga namba 0765 442104[/Qabgb naitaji incubator ya mayai 6000 na hatchery ya mayai 2000 ziko?
 
tawary naitaji incubator ya mayai 6000 na hatchery ya mayai 2000 ziko?[/QUOTE said:
ndio utapata sisi huwa tunatengeneza kulingana na mteja atakavyotaka,hivyo tuko tayari kufanya kazi yako ni ndani ya siku saba tu kazi yako tunaimaliza karibu sana
 
Tunatengeneza incubator za kutotolea mayai ya ndege wa aina zote.ni incubator zenye ubora wa hali ya juu.ni automatic zinageuza mayai zenyewe,zinacontral zenyewe kiwango cha joto na unyevu.
zina dumu muda mrefu kwa sababu tunazitengeneza kwa kutumia malighafi zenye kiwango cha juu cha ubora.unapoweka mayai hauna haja ya kuacha kazi zako eti unasimamia mayai,ukiweka mayai unaweza kusafiri hata wiki 2 ila siku ya 21 uwepo kutoa vifaranga vyako
mashine yenye kubeba mayai 300 bei ni sh 850,000/=,yenye kubeba mayai 600 bei ni sh 1,700,000/=,yenye kubeba mayai 1,000 ni sh 3,500,000/=,yenye kubeba mayai 2,500/= bei ni sh 5,000,000/=
tunapatikana DODOMA MJINI JENGO LA MANISPAA DODOMA.utakapo nunua incubator kwetu utatumiwa kokote ulipo itakufikia.kwa mawasiliano piga namba 0765 442104

Hapo Kwenye Red mkuuu, ni Malighafi gani hizo za kimataifa, na kuhusu kuweka mayai na kusafiiri si kweli mkuu hata kampuni kubwa kama Interchick au Kenchick hawana mashine za aina hiyo, Ishu ya Incubator ni very compliced na ukisema unaweka mayai then unaondoka unarudi siku ya 21 ni uongo mkuu haiwezekani
 
UONGO mkubwa! Incubators hutumia umeme hivyo lolote laweza tokea. Lazima mtu awepo angalau kama itatokea hitilafu aweze kushughulikia. Acha kudanganya the would be your customers. Just tell them the truth!!
 
hilo linawezekana ukasafiri kabisa mashine hii haihitaji ugeuze mayai wala urekebishe kiwango cha joto na unyevu shughuli hizo zote inazifanya hii incubator yenyewe bila kuhitaji mtu kuzifanya kazi hizo.kama umeme upo wa uhakika unaweza kuendelea na shughuli zingine.
 
UONGO mkubwa! Incubators hutumia umeme hivyo lolote laweza tokea. Lazima mtu awepo angalau kama itatokea hitilafu aweze kushughulikia. Acha kudanganya the would be your customers. Just tell them the truth!!

bahati nzuri wewe ulisha nunua mashine kwetu ya mayai 1000,je kuna siku yoyote uliisaidia hiyo mashine kugeuza mayai,kurekebisha joto na unyevu.sema ukweli.
 
ninachomaanisha mimi ni kwamba endapo umeme upo wa uhakika usio katikakatika kwa mashine hii itajiendesha yenyewe bila kukulazimu wewe uwepo muda wote kuisimamia.hizi incubator tuna muda mrefu tunatengeneza sio tumeanza leo na kila aliye nunua kwetu zimewafaa sana.tuache malumbano ebu nunua incubator zetu uone tofauti.tunajiamini na kazi yetu ni nzuru sio porojo
 
Mimi niko Tanga nitapataje? Vipi malipo ya awamu maanake hicho kiasi si haba! Lakini hongereni kwa juhudi zenu za kutukwa mua wajasiriamali
 
ndugu yangu hapo TANGA utaletewa,sisi huwa tunatuma mashine zanzibar ,mara, mbeya nk.mteja anae nunua mashine kwetu utatumiwa mashine yake mpaka huko ulipo. ndug Madigida kuhusu malipo tunaweza kuongea tukaona namna ya wewe kulipia kwa awamu ili upate mashine.hili linahitaji tuongee ebu nipigie simu namba 0765 442104. karibu sana
 
Back
Top Bottom