Inaweza kukaa Mpaka siku nne....duration inategema matumizi yako maana back up inaungwa kwenye main switch so umeme ukikatika automatically inawaka na ku supply power nyumba nzima so kama umeme ukikatika hutumii other devices basi inakaa zaidi ya siku nne ikiwa kwa ajili ya mashine tu.Na hiyo back up power inafanya kazi muda gani bila umeme?
Hawa kuku wana wiki ngapi na ndio hao bovans brown?Unaweka oda kwa kulipia some amount delivery date ikikaribia unamalizia.View attachment 1143632
IncubatorsWachina wanauza nini mkuu? Vifaranga au incubator?
Sawa nimewacheki Nile machinery though sihitaji mashine yoyote kwasasa....niliwatafuta kuona bei zao nijifunze kitu.Incubators
Kwanza nikupongeze kwa kuhakiki taarifa yangu. Kuna vijana wengi hapa JF ambao hukurupuka bila kuhakiki. Pili nishukuru kwa mafunzo kuhusu incubatorsSawa nimewacheki Nile machinery though sihitaji mashine yoyote kwasasa....niliwatafuta kuona bei zao nijifunze kitu.
Ukienda kununua incubator mahali popote nunua hardbody usinunue portable. Hardbody zime prove performance nzuri kuliko portable, portable ambazo zinafanya vizuri ni zile ndogo kabisa mayai 48 au 96 usizidi hapo.
Bovans Brown nimenunua Star Poultry Products almost oda ni wiki 2 unapewa....nafikiri kuna vifaranga wanatoka trh 16 mwezi huu wacheki uchukue mzigoMkuu demo hao bovan wanauzwa sh ngapi kwa kifaranga kimoja na wanapatikana wapi na ukiweka oda inachukua siku ngapi
Asante mkuu utaratibu wao wa kuweka oda upoje na kama utaweza nisaidie contacts zao na zako for more infoBovans Brown nimenunua Star Poultry Products almost oda ni wiki 2 unapewa....nafikiri kuna vifaranga wanatoka trh 16 mwezi huu wacheki uchukue mzigo
Contact zangu ; 0752912132Asante mkuu utaratibu wao wa kuweka oda upoje na kama utaweza nisaidie contacts zao na zako for more info
Asante sana mkuuContact zangu ; 0752912132
Contact zao ; 0624181003 oda unalipia 75% kabla ya delivery date unamalizia 25% then unatumiwa kama upo nje ya Dar. Oda ya vifaranga inaanzia vifaranga 300.
Brooder ndio nini mkuu?Hawa Bovans Brown kesho ni siku ya sita ndo maana unaona bado wapo kwenye brooder.View attachment 1144140
naomba number za hawa jamaaaUnaweka oda kwa kulipia some amount delivery date ikikaribia unamalizia.View attachment 1143632