Incubators full automatic zenye uwezo wa kuchukua mayai 528 kwa wakati mmoja zinapatikana pamoja na garantii ya mwaka mzima!
wasiliana na namba 0763 395933 au 0785 670038.
Karibuni sana
Incubators full automatic zenye uwezo wa kuchukua mayai 528 kwa wakati mmoja zinapatikana pamoja na garantii ya mwaka mzima!
wasiliana na namba 0763 395933 au 0785 670038.
Karibuni sana
Nilicho kiona ni kwamba Matangazo mengi tena muhimu hua yana andikwa bila kizingatia mambo mengi muhimu mf. eneo au mkoa alipo muuzaji, kama anaweza kisafirisha na gharama ya bidhaa n.k....kumbuka hili nijukwaa huru hivyo nadhan ni vyema pia kua huru kuweka maelezo muhimu ili kuleta mvuto kwa mhitaji(potential customer).
pia eleza kuhusu bidhaa yako mf. inatumia umeme,mafuta n.k jaman mjitahidi kuleta matangazo na walao yenye maelezo muhimu yakutuzidishia hamasa wadau.