Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Indepencence Day na Project 2025 ndo itakuwa habari ya mjini ifikapo January 1, 2025.
Ndege maalum ya kutoka angani au Spacecraft itatua katika ardhi ya nchi hii na iyakuwa imejaa abiria kadha wa kadha. Abiria wengi ni viumbe wa ajabu au Aliens na watakuwa ni hatari yaaani "vicious".
Ni jukumu la nchi hiyo kuchukua hatua za dharura za kuinusuru nchi hiyo isikumbwe na balaa kubwa.
Pembeni wa ndege hiyo ya angani kumeandikwa maandishi makubwa yasemayo Project 2025 na pia ina maneno yanozunguruka yakisema "Today is Your Independence Day"
Ndege hiyo ya angani imetua katika moja ya viwanja vikubwa vya moja ya miji ya taifa hilo ambako kwa pembeni kuna mradi ambao umepangwa kuanza hivi karibuni kujenga daraja kubwa sana.
Kapteni wa ndege hiyo ateremka akiwa ameshikilia kipaza sauti na aanza kuwaambia wananchi walokusanyika katika uwanja huo ili kuishangaa ndege hiyo.
Kapteni aanza kwa kuwasalimia wananchi hao kwa kusema "nimekuja kwa amani" huku aiinama kutoa ishara ya heshima.
Kapteni aendelea kwa kusema kwamba wamekuja katika nchi hiyo kuleta mabadiliko na kwamba kila sekta katika uongozi wa taifa hilo itabadilishwa. Ili kuondoa urasimu na teuzi nyingi na pangapangua nyingi nafasi za uongozi katika sekta zote zitazingatia elimu, ujuzi na maarifa.
Kapteni aendelea kusema kwamba sera nyingi za kiuchumi na kijamii zitabadilika na wananchi waanza kujiandaa kujifunga mikanda.
Kuhusu sera ya uchumi hasa wa mikataba na nchi marafiki Kapteni asema mikataba yote ambayo ipo hai itaaangaliwa upya ili kulinda maslahi ya taifa na pia kuangalia uwezekano wa kuiandika upya ili iwanufaishe pande zote mbili.
Kapteni amalizia kwa kusema kuwa mradi huo wa 2025 au project 2025 unaangalia maslahi ya nchi hiyo na kizazi chake na kwamba tayari kina kanzidata ambayo imetayarisha viongozi na watu wote wenye sifa za kushika nafasi nyeti katika serikali ambayo Project 2025 imeiandaa.
Kapteni asema aina ya kiongozi ambae wamemtayarisha ataitwa Digital Leader au kiongozi wa kidijitali ambae ataliongoza taifa hilo kujiandaa kuwa taifa la kidijitali lenye kuamini katika mabadiliko ya kidijitali.
Kiongozi huyo mpya atakuwa na timu yake maalum yenye viongozi wafuatao:
Chief of Staff ambae ni sawa na katibu kiongozi na atashughulikia taasisi ya uongozi kwa maana ya raisi.
Special Adviser au mshauri maalum wa kiongozi wa kidijitali ambae atakuwa na kazi ya kuhakikisha taifa hilo halina watu wanoitwa wasojulikana, wapigaji na wahuni wote. Pia atakuwa na kazi ya kuwashughulikia wale wa wa DS.
Kapteni pia azungumzia mihimili minne itayoiongoza project 2025 kwamba ni pamoja na :
1. Katiba ya mpito ambayo itatoa fursa ya kufanyika uchagusi huru na wa haki ambao watu wote watashiriki.
2. Kanzidata ya itayoweka taarifa zote za waombaji kazi serikalini.
3. Mfumo maalum wa mtandaoni ambao utawandaa watumishi wa serikali na kufuatilia mafunzo kwa njia ya mtandao au e-learning.
4. Kitabu maalum cha kiapo cha uongozi na utumishi wa serikali.
Kapteni arudi ndani ya ndege na atuacha watu tupo je twashangaa sana juu ya jambo hili.
Mara ghafla taarifa zimefika katika kasri ya kiongozi aliepo madarakani na hapohapo atoa amri ya kukabilianana na wale walokuja na ndege hiyo ya spacecraft.
Lakini kiongozi huyo aamua kumpigia simu kiongozi wa zamani ambae wakati huo huwa shambani kwake akilima mahindi kumuomba ushauri wa namna ya kupambana na Aliens.
Kiongozi akasema ni wajibu wake kama jemedari mkuu kuhakikisha nchi iko salama na ameamua kuomba msaada ili kupata mawili matatu.
Je, kiongozi huyo atafanikiwa kukabiliana na abiria wa Spacecraft na kapteni wao?
Je, kiongozi wa zamani atafanikiwa kuwashawishi viongozi wengine wa zamani kutoa ushauri wowote?
Project 2025 itafanikiwa?
Kwanini Independence day iwe sasa?