prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,023
- 2,308
Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza
Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua taharuki nchini humo huku wengi wakishutumu police kwa kusaidia kuchochea ukatili wa kijinsia
Hata hivyo wanaume wanne wanekamatwa kwa madai ya kumteka nyara na kumbaka mtoto huyo mwezi Aprili ambapo inadaiwa walimpeleka katika jimbo jirani la Madhya Pradesh ambapo alibakwa na kushikiliwa kwa siku nne ...
Duuh aina gani ya Ulimwengu hii...?