#COVID19 India: Delhi yaripoti maambukizi ya Omicron kwa mtu aliyetokea Tanzania

Wajanja wanaifanya corona kuwa biashara, sasa ni mwendo wa version mbili za covid kwa kila mwaka
 
Kwani shida ikowapi mkuu, wewe hapo ulipo unaumwa?? au umewahi kuumwa ugonjwa wowote??? Acha kusikiliza story za hao wazungu piga kazi zako.

Hata yule mwamba wa Chatto hukuwahi kuwasikiliza wazungu. Alikuwa kwenye kuchapa kazi kweri kweri.
 
Hawana jipya, ni mwendelezo wa kutafuta kujengea watu hofu ili malengo yao maovu yatimie......The Almighty God is in control....

Hata Kipepe na baiskeli yake ya miti alikuwa akisema hivyo hivyo
 
Yanayosemwa/Kutolewa taarifa ni mengi kuhusiana na hiki kirusi. Mwanzoni tuliambiwa kirusi cha Omicron kilianzia SA wakati ukweli ni kuwa maambukizi ya kwanza yaliripotiwa NETHERLAND.
 
Labd ni hv vyombo vinatudanganya
Yanayosemwa/Kutolewa taarifa ni mengi kuhusiana na hiki kirusi. Mwanzoni tuliambiwa kirusi cha Omicron kilianzia SA wakati ukweli ni kuwa maambukizi ya kwanza yaliripotiwa NETHERLAND.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Yanayosemwa/Kutolewa taarifa ni mengi kuhusiana na hiki kirusi. Mwanzoni tuliambiwa kirusi cha Omicron kilianzia SA wakati ukweli ni kuwa maambukizi ya kwanza yaliripotiwa NETHERLAND.

Kwani hata ni muhimu basi kilikoanzia?
 
Ni mtu aliyetokea tanzani so anaweza kuwa kapita transit coz kama kaingia pale airport si wanapima?
Lazima wangemujua tu
 
Tokeni mbali na report zenu za kishenzi za kinafiki,uswahili humu hakuna Corona shenzi kabisa

Kama kuna namna ya kupata pesa kupitia corona tafuteni maneno ya kuwaambia wazungu,huo ugonjwa MUNGU amesha ipigania Tanzania na Africa kwa kiasi kikubwa

Covid imekua na matoleo kama ya Samsung....kwendraaaaaa
 
Pumbavu hiyo ndege ilitoka Tanzania moja kwa moja au

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Inabidi mamlaka husika ziinvoke contact tracers kuchunguza watu
waliokuwa karibu na huyo mgonjwa iwe sehemu aliyokuwa anaishi na sehemu aliokuwa anafanya shughuli hapo tayari maambukizi Kibao.

Sio rahisi kuepuka Corona la kufanya ni kupata chanjo haraka kama haukuchanjwa.

Gvt ianze kujipanga oksijeni za kutosha tatizo TZ waliochanjwa ni 2.5% wakati South Africa ni 34% kwa hiyo huku kwetu inabidi tujipange na kibaya hii wave imeanza kwa majirani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…