India imekataa Uturuki kujiunga BRICS

Record Man

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2023
Posts
525
Reaction score
876
China , Pakistan na Turkey wanashirikiana kumpiga India , usione India wehu wa kukataa , Anachopitia Israel kwa sasa ndo anapitia India , kazungukwa na maadui wakubwa wawili Pakistan na China wanashirikiana kumkabili India kwenye jimbo la Kashmir , pia Uturuki yupo upande wa Pakistan kweny huo mgogoro
 
Kama vile Uturuki ilivyokuwa inazuia Sweden na Finland kujiunga NATO!
Hizo nchi zote zimeshajiunga na NATO recently, both sweden na finaland wamejiunga hawana hata miaka miwili, but yes ni kweli mwanzoni turkey waliwekea vikwazo
 
Sasa kama wameanza kutenga nchi nyingine mapema hii itafail sasa.
Ilipaswa wabebe watu ili mfumo wa malipo uwe na nguvu zaidi
 
Ili ujiunge na BRICS nilazima Hao walionzisha wakupende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…