INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india.

Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT

Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india.

Je na wapo waliosoma IIT

Kama wapo je wana mchango gani kwenye uchumi.

Maana ceo wa google ni output ya IIT

Ceo wa pepsi ni output ya IIT.

Na wengineo wengi.

Inasemekana india ukiwa na degree ya IIT mke analipishwa mahari kubwa kuolewa na huyo mwanaume maana kwa mila za kihindi upande wa mke ndio unalipa mahari

Degree ya IIT ina value kubwa kuliko degree ya vyuo vingi (ukiacha Ivy league ) vilivyo ulaya na marekani
 
Wana campus Tanzania, ipo Zanzibar.

Sijui campus ya huku wanapokeaje wanafunzi

Ila kule india unafanya JEE, moja kati ya mitihani migumu duniani, wao hawapendelei wanafunzi wa nje kama wachina, mtihani wao lazima ufanye
 
Degree ya IIT ina value kubwa kuliko degree ya vyuo vingi (ukiacha Ivy league ) vilivyo ulaya na marekani
Nadhani hapana, sijawahi kuisikia IIT kwenye orodha ya vyuo vikubwa duniani

Ni kwamba kuingia IIT kuna mchujo mkali sana, kwahiyo kule wanaingia wale wahindi wenye akili kuliko wote

Wakienda marekani wanachukua graduate programs kwenye ivy leagues ambazo ndo zinawapa heshima sasa
Screenshot 2025-01-18 214425.jpg
 
Unaenda India kusoma chuo ada milioni 2 afu unataka elimu bora 😁😁
 
Back
Top Bottom