#COVID19 India: Maambukizi ya COVID-19 yaendelea kupungua

#COVID19 India: Maambukizi ya COVID-19 yaendelea kupungua

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31.

Taifa hilo limerekodi jumla ya visa Milioni 29.51 na vifo vimefikia 374,305 baada ya vingine 3,921 kuongezeka.

=====

India on Monday reported 70,421 new COVID-19 infections over the past 24 hours, the lowest since March 31, data from the health ministry showed.

The South Asian country's total COVID-19 case load now stands at 29.51 million, while total fatalities are at 374,305, the data showed. India added 3,921 deaths overnight.

Source: Reuters
 
Dalili kuwa hatua wanazochukua zikiwamo za chanjo zinaleta matokeo chanya.
 
Inawezekana hatu wanazochukua zinawsaidia, au ni wave yenyewe kuna mahali ikishafikia peak inaanza kushuka.
 
Back
Top Bottom