[emoji28][emoji28]Sikuwahi kuwaza ipo siku nitatoka kitambi[emoji38][emoji38]
Utakuwa ni mtu wa forensic investigation mkuu,sio kwa utambuzi huoWatu wabaya sana, wamemuungia madenge ndevu za Hashim Rungwe Spunda...πππ
SawasawaUsicheke sana mwali, bado tupo msibani hapa ndani
Uko unanipeleka kutoa figo nipate hayo mamillionKama moyo nimekupea na bado unaomba na pesa ya kusuka, sasa uko India ndio utanidai na pumzi yangu uichukue...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo figo yako ishachuja sana bia ubora umepunguaUko unankpeleka kutoa figo nipate hayo mamillion
Hahhaha nauza na moyo pia smart njoo unipe mamillion