India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

Kwani hizo sampuli zimethibitika ni covid+?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wangu
Halafu mtu anasema wamuuwe weee
 
Chanzo cha taarifa?

Covid 19 inapimwa kwenye damu? Si kweli hii taarifa na upimaji wa Covid 19 unatoka kwenye maji maji yalio kwenye mfumo wa hewa. Hiyo walikuwa wanapimwa vitu vingine labda
 
Ok, tufanye wamekula Ukimwi basi.
Chanzo cha taarifa?

Covid 19 inapimwa kwenye damu? Si kweli hii taarifa na upimaji wa Covid 19 unatoka kwenye maji maji yalio kwenye mfumo wa hewa. Hiyo walikuwa wanapimwa vitu vingine labda
 
Hii si ajabu kwa india,hawa Jama wanaishi kwa maigizo sana kuwa kutokea duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…