India wavumbua kifaa cha kupandia juu ya miti ya minazi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Kifaa hiki chenye uzito wa kilo 18 kina uwezo wa kubeba kilo 80. Humuwezesha mtu kufikia juu ya manzi na kuangua nazi.

Kifaa hiki kilivumbuliwa kutokana na idadi ya wakwezi wa jadi kupungua na kupelekea nazi kuozea juu ya minazi.

Bado ninatafuta vermeil yake na nitawawekea wadau.
 
Mwee..
Unaandika upo ndani ya mercedes ya lewis hamilton nn'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…