India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
32,639
Reaction score
42,908
Wenzako wanaenda ku study, wapate technolojia kama ya jua lisilozima endless energy supply.

Waafrika miaka bilioni kadhaa ijayo Siku ulimwengu unaangamia, wenzetu wakiwa wanahamia another solar system sisi tutakuwa busy kuomba lift, "Kwa hisani ya watu wa ....." Hii kauli naona bado tuko nayo sana Kwa hapa Afrika
 
Back
Top Bottom