Wafanye juu chini kitue kwenye jua salama kianze uchunguzi wakeJua? 🤣🤣🤣🤣
Wasipoteze muda na kuimba sijui kucheza pakakucha, hawataamini.Wafanye juu chini kitue kwenye jua salama kianze uchunguzi wake
🗣🗣🗣🗣
Africa ndo tumezubaa.Hawa jamaa wana wanasayansi, wachumi, madaktari bingwa wazuri mno kwenye kila eneo.
Jamaa wapo mbali mno.
Lina watu wangapi mkuu.Taifa lenye idadi kubwa zaidi ya watu duniani. Hongera zao.
Takwimu halisi ziko google mkuu lakini mwaka huu wameipita china.Lina watu wangapi mkuu
1.428+ Billion.Lina watu wangapi mkuu.
Una maanisha wameenda usiku wakati jua limelala?😃Kumbe wana akili, naona wameenda usiku. Sio wajinga.
ndiomana wahindi wamejazana bongo1.428+ Billion.
Sasa Kama mtu chama chake kimeshika nchi toka uhuru Hadi Sasa wameshindwa nunua vyombo vya kisasa bandarini akili zao zinawaza kuwapa watu ndo tutapata faida Yani hao wenyewe et wanaona hawawezi ..wanachoweza Ni kujipangia mishahara mizuriAfrica ndo tumezubaa.