Rion Jr
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 623
- 691
INDIAN RUNNER DUCKS
Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA.
Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo chini , kinacho watofautisha na Bata wengine ni nature ya miili yao miembamba na shingo ndefu iliyosimama kama penguin.
Pia bata hawa ni wazuri kwa kujitafutia chakula hasasa wadudu warukao japo wengi tuna wafuga kisasa kwa kuwafungia eneo moja, wanahitaji kiasi kidogo Cha maji ukilinganisha na bata wengne mara nyng kwenye kuoga kwao wanaingiza kichwa tu kwenye maji/ wanaogesha kichwa tu. Indian runner sio wapigaji kelele sana ukilianganisha na bata wengne wa kisasa.
Jike wa indian runner ana kilogram 1.4-2.0 na anauwezo wa kutaga mayai 300 hadi 350 kwa mwaka
Wana lalia mayai kwa siku 28
Dume wa Indian runner anakuwa na kilogram 1.6 to 2.3 kg
Indian runner wanauwezo wakuishi kuanzia miaka 8 hadi 12
Naishia hapo kama kuna mtu anachakuongezea au chakurekebisha ruksa .
Pia kama una hitaji mbegu bora za bata kama mallard, ruen, jumbo perkin, khaki Campbell, indian runner, muscovy ducks ( bata wa kienyeji au kawaida) kuanzia kifaranga hadi bata mkubwa umri wa kutaga
Call 0746696878
Location chanika kwa Singa