Juu ya huo ushauri wako, aweke puti katika screws zote za kwenye taa na parts ambazo kutoka kwake hadi kifaa kiharibike.Duuuu pole uwe makini na sehemu unazopaki gari hasa nyakati za usiku, sikuhizi RAV 4 zpear parts zimekuwa dili sana, kuanzia indicators, side mirror, vioo, power window, na vifaa vyote ambovyo ni quick removable na portable. Jamaa hawachezi mbali, Hizo zinapatikana zipo nyingi used na brand news.
Ushauri wa bure, hakikish vioo vyote mpaka za indicator umepiga chata ya ya plate number yako eg T 4567 DKC, Wakiona hivyo zipu zinawalegea na hwatazengea tena