Indices trading partner / investor anahitajika

Applemon

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
139
Reaction score
261
Habarini Wana jukwaa

Nahitaji investor serious awe na uelewa hata kidogo wa masuala ya online volatility index trading. Kiwango cha chini cha investor huyu kianzie Million 5. Nafanyia kazi mahala alipo yeye yaan nakuwa naye muda wote .

Kiwango Cha chini Cha faida katika uwekezaji wake ni 30% kwa week kikipelea hapo anachukua faida yote . Kiwango hicho nikitimiza au zaidi tunagawana faida kwa asilimia 45% yangu na 55% yake

NB: Nahitaji only serious investors , wawe waaminifu. Nipo tayari kusafiri mkoa wowote Tanzania. Ninauzoefu wa miaka mitatu

Whatsapp 0683510808
 
Iyo 30% kwa wiki naweza nikaipiga ndani ya one days ama two. Ila nimekusoma. Unahitaji capital umeiva trading. Unahitaji capital uwe free mkuu. Big up Sana. Unayo history ya paper trading
Yes 30% ni minimum kwa sababu nafocus zaidi kwenye quality trades naanzia 1:7 up to 1:20 risk to reward ratio na lengo sio kurisk more than 5% of capital mkuu wangu
 
Kama umeiva fanya mbinu upate hela usiwe Kama wa Pakistan, Afghanistan,Nepal ,Bangladesh,sauzi afrika n.k. tafuta watu uwafundishe huku una demo nzuri,ama tafuta kibarua upige upate chako Mana hela sio rahisi Kama unavyowaza kuwa mtu atakupa hela yake. Yaani sidhani Mana hii ni risk business yaani ni highly. Biashara unavyoweza kudabo capital ndani ya siku so vice versa ni true pia I e kuipoteza nako inawezekana Sana.

Trading ilivyo kupoteza kuko nje nje zaidi kuliko kupata.
Many can talk the talk but few can walk the walk when real money is online. Real fun fight tofauti na mazoezi ya plastic risasi.

Tafuta 9/5 jobs upate hela. Ama uwe na demo nzuri Sana yanye history ingia huko fb shawishi wenye ego ama tamaa za hela za haraka wapo utakaowapata. So hapa fx inaonekana ni scam.
 
Kwa mtaji wa TZS 250,000/- tu
1629796190768.png
 
You mean upo vizuri kwenye trading ila huna capital? Why usikope pesa kwenye hizi microfinances nyingi hivi mtaani coz hao 10% inawatosha kabisa na wewe unabaikiwa 90%kama faida.
My friend wajinga wamebaki wachache sana tz hii
Soma vizuri Uzi uelewe mkuu Mimi Sina muda wakuanza kuwatamanisha watu kufanya issue ionekane scam hapana ndio maana nafanya kazi na mtu hand in .. Sina tamaa na pesa ndio maana nahitaji mtu ambaye angalau anauelewa hata kidogo naweza kufundisha pia ninachokijua so ni benefit kwake pia . Napenda kufanya kazi na watu mbali mbali napenda kusafiri hivyo sitafuti wajinga Kama ulivyoandika natafuta wanaojua na wako willing kuinvest .

Sharing is caring mkuu
 
Komaa na nia yako utafanikiwa
 
Kama umeiva fanya mbinu upate hela usiwe Kama wa Pakistan, Afghanistan,Nepal ,Bangladesh,sauzi afrika n.k. tafuta watu uwafundishe huku una demo nzuri,ama tafuta kibarua upige upate chako Mana hela sio rahisi Kama unavyowaza kuwa mtu atakupa hela yake. Yaani sidhani Mana hii ni risk business yaani ni highly. Biashara unavyoweza kudabo capital ndani ya siku so vice versa ni true pia I e kuipoteza nako inawezekana Sana.

Trading ilivyo kupoteza kuko nje nje zaidi kuliko kupata.
Many can talk the talk but few can walk the walk when real money is online. Real fun fight tofauti na mazoezi ya plastic risasi.

Tafuta 9/5 jobs upate hela. Ama uwe na demo nzuri Sana yanye history ingia huko fb shawishi wenye ego ama tamaa za hela za haraka wapo utakaowapata. So hapa fx inaonekana ni scam.
Dah, umeniongelea Mimi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Natmani niiweke hapa Instagram account yangu ili newbies mkajifunze kitu jinsi yakupata mtaji [emoji28]
 
Back
Top Bottom