Yes 30% ni minimum kwa sababu nafocus zaidi kwenye quality trades naanzia 1:7 up to 1:20 risk to reward ratio na lengo sio kurisk more than 5% of capital mkuu wanguIyo 30% kwa wiki naweza nikaipiga ndani ya one days ama two. Ila nimekusoma. Unahitaji capital umeiva trading. Unahitaji capital uwe free mkuu. Big up Sana. Unayo history ya paper trading
Mambo ya zamani hayo mkuu ndio tulijifunzia huko.. Unapokuwa na fund yako maximum risk allowance unanipa not more than 15%-20% of capital so hakuna kuunguza mkuuUkiunguza inakuaje?
Njoo whatsap nakutumia results zanguTunapata uhakika gani kuwa umeiva
Soma vizuri Uzi uelewe mkuu Mimi Sina muda wakuanza kuwatamanisha watu kufanya issue ionekane scam hapana ndio maana nafanya kazi na mtu hand in .. Sina tamaa na pesa ndio maana nahitaji mtu ambaye angalau anauelewa hata kidogo naweza kufundisha pia ninachokijua so ni benefit kwake pia . Napenda kufanya kazi na watu mbali mbali napenda kusafiri hivyo sitafuti wajinga Kama ulivyoandika natafuta wanaojua na wako willing kuinvest .You mean upo vizuri kwenye trading ila huna capital? Why usikope pesa kwenye hizi microfinances nyingi hivi mtaani coz hao 10% inawatosha kabisa na wewe unabaikiwa 90%kama faida.
My friend wajinga wamebaki wachache sana tz hii
Sifanyi binary options mkuuKwa mtaji wa TZS 250,000/- tu
View attachment 1906046
Komaa na nia yako utafanikiwaSoma vizuri Uzi uelewe mkuu Mimi Sina muda wakuanza kuwatamanisha watu kufanya issue ionekane scam hapana ndio maana nafanya kazi na mtu hand in .. Sina tamaa na pesa ndio maana nahitaji mtu ambaye angalau anauelewa hata kidogo naweza kufundisha pia ninachokijua so ni benefit kwake pia . Napenda kufanya kazi na watu mbali mbali napenda kusafiri hivyo sitafuti wajinga Kama ulivyoandika natafuta wanaojua na wako willing kuinvest .
Sharing is caring mkuu
Amen mkuuKomaa na nia yako utafanikiwa
Sawa mwana jamviNjoo whatsap nakutumia results zangu
Mkuu namuomba huyo botKwa mtaji wa TZS 250,000/- tu
View attachment 1906046
Hapo umesomeka vyema kabisaMany can talk the talk but few can walk the walk when real money is online. Real fun fight tofauti na mazoezi ya plastic risasi.
Dah, umeniongelea Mimi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Kama umeiva fanya mbinu upate hela usiwe Kama wa Pakistan, Afghanistan,Nepal ,Bangladesh,sauzi afrika n.k. tafuta watu uwafundishe huku una demo nzuri,ama tafuta kibarua upige upate chako Mana hela sio rahisi Kama unavyowaza kuwa mtu atakupa hela yake. Yaani sidhani Mana hii ni risk business yaani ni highly. Biashara unavyoweza kudabo capital ndani ya siku so vice versa ni true pia I e kuipoteza nako inawezekana Sana.
Trading ilivyo kupoteza kuko nje nje zaidi kuliko kupata.
Many can talk the talk but few can walk the walk when real money is online. Real fun fight tofauti na mazoezi ya plastic risasi.
Tafuta 9/5 jobs upate hela. Ama uwe na demo nzuri Sana yanye history ingia huko fb shawishi wenye ego ama tamaa za hela za haraka wapo utakaowapata. So hapa fx inaonekana ni scam.
Kuwa unatufundisha ama ama unatuuzia signalsDah, umeniongelea Mimi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Natmani niiweke hapa Instagram account yangu ili newbies mkajifunze kitu jinsi yakupata mtaji [emoji28]