Kuna lijamaa liliingiza watu mjini, akachangisha dola 5000 kwa wadau. Manager uchwara akaanza kujilipua hizo vix lot za 1000,400,na 80.Dah within two days account yote majivu. Huu upuuzi wa account management sio, ni heri ujifunze kutrade mwenyewe tu.