Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo.
Kampuni hiyo ya teknolojia ilikuwa imeahidi kuwekeza dola milioni 109 katika miundombinu ya ndani, lakini ikapungukiwa na takriban dola milioni 14.
Kutokana na kutotimiza ahadi hizo, Indonesia imekataa ku-renew cheti cha Apple cha maudhui ya ndani, na hivyo kufanya kuwa kinyume cha sheria kuuza au kutumia vifaa hivyo nchini humo.
Pia, Soma:
Kutokana na kutotimiza ahadi hizo, Indonesia imekataa ku-renew cheti cha Apple cha maudhui ya ndani, na hivyo kufanya kuwa kinyume cha sheria kuuza au kutumia vifaa hivyo nchini humo.
Pia, Soma: