State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta yenye gharama ndogo kutoka Urusi.
Hii inadhiirisha hakuna tena mtu anayeogopa vikwazo vya kiuchumi uchwara kutoka mataifa ya magharibi.
Pia soma: Swali la uchumi: Kwanini vikwazo vya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi havifanyi kazi dhidi ya Urusi?
Uamuzi huu utaenda kuimarisha zaidi uchumi wa Indonesia, bila ya kujali pressure za siasa za kikanda.
China na India ni miongoni mwa mataifa ambayo yanaendelea kuimarika kiuchumi kwa kutokana na kununua nishati ya mafuta kutoka urusi tangu kuanza kwa mzozo wa Urusi na Ukraini.
Hakika, huu ni huu ni uamuzi dhabiti [emoji1129] unaostahili kuungwa mkono.
R. I. P Jiwe[emoji120]